Psalms 33:10-11

10 a Bwana huzuia mipango ya mataifa,
hupinga makusudi ya mataifa.
11 bLakini mipango ya Bwana inasimama imara milele,
makusudi ya moyo wake kwa vizazi vyote.
Copyright information for SwhNEN